1Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu no comments
Posted at 6:21 pm in Journal
Yohana 14:1-3 (Swahili New Testament)
Swahili New Testament (SNT)
Copyright © 1989 by International Bible Society
Yohana 14
Yesu Ndiye Njia Ya Kufika Kwa Mungu
1Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu. Mwaminini Mungu, niaminini na mimi pia. 2Katika nyumba ya baba yangu mna nafasi nyingi. Kama sivyo, nisingeliwaambia kwamba nakwenda kuwaandalia makao. 3Na nikishawaandalia, nitarudi kuwachukua mkae pamoja nami; ili mahali nilipo, nanyi mpate kuwepo.